Malighafi (kutoka maneno ya Kiarabu "mali" + "ghafi"; kwa Kiingereza "raw material") ni kitu chochote ambacho kinatumika katika utengenezaji wa bidhaa.
Mfano wa bidhaa na malighafi zake ni ngozi ambayo hutumika kutengenezea viatu, mkanda, begi na kadhalika.
Mfano mwingine ni matunda ambayo hutumika kutengeneza vinywaji mbalimbali.
Vilevile mbale hutumika kupata metali safi; mfano kuyeyusha mbale wa chuma kupata chuma na feleji.
Bara la Afrika lina 30% za akiba zote za malighafi zisizo nishatiduniani, lakini utajiri huo umeathiri vibaya wakazi wake. Tatizo hilo linaitwa kwa Kiingereza "Dutch disease" au "resource curse" (yaani laana ya kuwa na vyanzo vya maliasili).
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Malighafi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!