Shabaha ya vituo vya angani ni kuchunguza athira ya hali pasipo mvutano kwa mwili na nafsi ya binadamu na kutumia maabara zake kwa majaribio ya kisayansi[1]. Wanaanga hukaa kwa wiki au miezi kadhaa. Mwanaanga aliyekaa kwenye kituo cha angani kwa muda mrefu zaidi alikuwa Valeriy Polyakov (siku 437 kwenye MIR)[2].
[3].
Marejeo
↑"Space Stations". Oracle Thinkquest. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-24. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"A history of space stations". Cable News Network. 23 Novemba 1998. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-19. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!