Steinbeck alifunga ndoa na Carol Henning(1930) California, na kuachana nae kwa ajili ya Gwyn. Gwyndolyn Conger ni mke wa pili wa Steinbeck walifunga ndoa(1942-1948). Elaine Scott(1950) ni mke wa mwisho wa Steinbeck ambaye alikuwa muigizaji.
Rafiki
Ed Ricketts.
Watoto
Thomas na John kutoka kwa Gwyn,mke wa pili wa Steinbeck.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Steinbeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!