Jim Witter (amezaliwa 2 Novemba, 1964) ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa muziki wa country na muziki wa Kikristo kutoka Kanada aliyeshinda tuzo. Nyimbo kumi za Witter zimefikia nafasi ya juu 10 kwenye redio za muziki wa country nchini Kanada.[1]
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jim Witter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|