Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 82,768 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 51,172 waishio humo.[2]
Igunga ni kati ya maeneo ambako imani ya ushirikina inaleta matatizo ya mauaji ya kiholela ya watu wanaoshukiwa kuwa wachawi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Igunga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!