Helsingborg ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa nane katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 95,444 (mwaka 2008). Iko kando ya mlangobahari ya Oresund. Huu ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Uswidi.
Jiografia
Eneo lake ni 37.63 km². Umbali na nchi ya Denmark ni 4 km
Kituo cha biashara
Bandari
Hoteli za Brunnspark
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Helsingborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!