Paul Blake (anajulikana zaidi kama Frankie Paul, 19 Oktoba 1965[1] – 18 Mei 2017) alikuwa msanii wa dancehall na reggae kutoka Jamaika. Alizaliwa kipofu, amekuwa akitajwa na wengine kama Stevie Wonder wa Jamaica.[2][3][4]
↑Moskowitz, David V. (2006). Caribbean Popular Music: an Encyclopedia of Reggae, Mento, Ska, Rock Steady, and Dancehall. Greenwood Press. uk. 233. ISBN0-313-33158-8.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!