Esuperi wa Bayeux (pia: Exuperius, Exupère, Spirius, Spire, Soupir, Soupierre; karne ya 4 - 405 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji [[Bayeux]|huo]][1], leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka390 hadi kifo chake [2].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!