Utaalamu wake ulikuwa hasa katika zuolojia akakusanya, kueleza na kuzipa majina spishielfu kadhaa za wanyama. Alijishughulisha na kazi za Charles Darwin, alitumia wakati mwingi kutangaza katika Ujerumani matokeo ya kazi ya Darwin.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernst Haeckel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.