Ermenfridi

Sanamu ya Mt. Ermenfridi ilivyochorwa.

Ermenfridi (pia: Ermenfredus, Ermenfroy, Ermenfroi; mwishoni mwa karne ya 6 [1] - 25 Septemba[2] 670 hivi) alikuwa mmonaki na padri wa Kanisa Katoliki huko Luxeuil[3], katika Ufaransa wa leo.

Alitumwa kufufua monasteri ya Cusance[1] akawa abati wake wa kwanza [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 24 Novemba 1900[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[6].

Tazama pia

Tanbihi

  1. 1.0 1.1 Jean Marilier, BSS, vol. V (1964), col. 47.
  2. Cugnier Gilles, Histoire du monastère de Luxeuil à travers ses abbés, tome 1, édition Guéniot, Langres, 2004
  3. Abbé Dallay, Saint Ermenfroy et l'abbaye de Cusance, imprimerie Paul Jacquin, Besançon, 1886
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72010
  5. Index ac status causarum (1999), pp. 452 e 599.
  6. Martyrologium Romanum

Marejeo

  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!