Enköping

Uwanda wa Enköping (1908)

Enköping ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 20,204 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1250 .

Jiografia

Eneo lake ni 10.44 km². Iko kando ya Ziwa Mälaren. Umbali na Jiji la Stockholm ni 51 km.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Enköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!