Eneo bunge la Ijara

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Ijara ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Garissa, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Linashirikisha wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Ijara County.

Historia

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Wasio N. Maalim Arte KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Wasio N. Maalim Arte KANU
1997 Mohamed Dahir Werah KANU
2002 Yusuf Mohamed Haji KANU
2007 Yusuf Mohamed Haji KANU

Wodi

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Hadaro 595
Ijara 2,165
Ijara South 1,990
Korisa 1,583
Kotile 833
Masalani 2,163
Sangailu 1,044
Jumla 10,373
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

Marejeo

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!