Disney Jr. ni televisheni ya satelaiti ya Marekani ambayo inamilikiwa na Disney Channels, kitengo cha kimataifa cha Disney-ABC Television Group, yenyewe kitengo cha Disney Media Networks, mgawanyiko wa kampuni ya Walt Disney.
|
Makala hii kuhusu "Disney Jr." ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|