Christina Maria Aguilera (anafahamika zaidi kama Christina Aguilera; alizaliwa 18 Desemba 1980) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka Marekani.
Ameshinda mara 5 tuzo za Grammy .
Muziki
Albamu'
- 1999: Christina Aguilera
- 2002: Stripped
- 2006: Back To Basics
- 2010: Bionic
- 2018: Liberation
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christina Aguilera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|