Big Show aliingia katika Mashindano ya World Championship Wrestling (WCW), ambapo alijulikana kwa jina la The Giant. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini mkataba na Shirikisho la mieleka ulimwenguni (WWF).
Katika WWF/WWE na WCW yeye ni bingwa wa saba wa dunia, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, WWF/WWE mara mbili, WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja, na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia mataji manne.
Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika filamu na vipindi vya televisheni kama Jingle All the Way,The Waterboy,Star Trek Enterprise.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kuongoza katika filamu ya uchekeshaji Knucklehead ambayo ilitolewa na WWE Studio.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Big Show kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!