Flag of Jamhuri ya Somaliland
|
|
Use
|
National Bendera
|
Proportion
|
1:2
|
Adopted
|
14 Oktoba 1996
|
Design
|
Kijani, nyeupe na nyekundu, na maneno ya Shahada ya Kiislamu yameandikwa ndani ya sehemu ya kijani kwa maandishi nyeupe. Nyota nyesui yenye ncha 5 iko ndani ya eneo nyeupe.
|
Bendera ya Somaliland ina milia mitatu ya kulala ya rangi kijani, nyeupe na nyekundu.
Ndani ya mlia nyeupe kuna nyota nyeusi.
Kuna maandishi ya Kiarabu ndani ya sehemu ya kijani yanayosema "la ilaha ill-Allah, Muhammadan Rasulullah ( لا إله إلاَّ الله محمد رسول الله, Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni mtume wa Allah).
Hii bendera ni bendera rasmi ya nchi ya Somaliland isiyotambuliwa kimataifa; iko katika kaskazini ya Somalia.