Katika kitabu hiki, kimedhihirisha pia uwezo mwingine wa Shaaban Robert wa kuzungumza na kuandika lugha ya kigeni ya Kiingereza, jambo ambalo wengi walikuwa hawafahamu kama mtaalamu huyo wa Kiswahili alikuwa anafahamu hadi lugha za kigeni na hata kusoma kwa njia ya posta.
Ndani ya kitabu hiki, msomaji ataweza kufahamu zaidi kuhusu imani aliyokuwa nayo Shaaban Robert katika suala la elimu hadi kumsisitizia ndugu yake Yusuoh Ulenge asimame katika elimu.
Tanbihi
↑Robert, Shaaban, 1909-1962. (2003). Barua za Shaaban Robert, 1931-1958. Mulokozi, M. M. (Mugyabuso M.), Ulenge, Yusuf, 1917-, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili. Dar es Salaam, Tanzania: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. ISBN9976-911-62-9. OCLC54023065.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barua za Shaaban Robert 1931-1958 kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!