"Amazing" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife ambao umetoka katika albamu yao ya tatu inayoitwa Face to Face. Single hii ndiyo inayongoza katika nyimbo za kundi hili kwa kupata mauzo madogo kupita single zote.
Ulipata nafasi ya nne katika chati ya uziki ya Uingereza na kushuka kwa haraka hadi kutoka nje kabisa ya chati hiyo ya muziki.
Orodha ya Nyimbo
CD Ya Kwanza
- "Amazing" (Single Mix) - 2:59
- "Still Here" - 3:51
CD Ya Pili
- "Amazing" (Single Mix) - 2:59
- "Miss You When I'm Dreaming"
- "Exclusive Westlife Chat"
Muziki wa Video
Video ya wimbo huu inaanza kwa kuonesha waimbaji wa kundi la Westlife wakiwa katika jengo asoishi mtu. Pia inaonesha picha ya kinakilishi kikiwa kinatoa karatasi mfululizo.
Chati
Viungo vya Nje