Alfred E. Novak

Alfred Ernest Novak, C.Ss.R. (2 Juni 19303 Desemba 2014) alikuwa mwanachama wa Marekani wa Shirika la Mkombozi Mtakatifu Sana, linalojulikana kama Waredentori, ambaye alifanya kazi kama mmisionari nchini Brazil.

Alitumikia kama Askofu wa pili wa Jimbo Katoliki la Paranaguá kuanzia mwaka 1989 hadi 2006.[1]

Marejeo

  1. Bunson, Matthew (2010). 2010 Catholic Almanac. Huntington, Indiana: Our Sunday Visitor. uk. 410.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!