Alizaliwa mjini Fitzroy, Melbourne, Australia. Kunako miaka ya 1890 aliisaidia Australia kuifanya kuwa nchi. Hapo awali alikuwa Jaji Mkuu, wakati huo Bw. Edmund Barton ndiyo alikuwa Waziri Mkuu, baada ya hapo Bw. Deakin akashika madaraka hayo baada ya Bw. Barton kuondoka madarakani. Deakin alikuwa Waziri Mkuu mara tatu. Serikali yake ilizanzisha fedha za Kiaustralia na jeshi la maji (navy).
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfred Deakin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.