Adolf von Baeyer

Adolf von Baeyer

Adolf von Baeyer (31 Oktoba 183520 Agosti 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1880 alifaulu kusanisi nili na kuendelea kuichunguza. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adolf von Baeyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!