Abidiani na wenzake

Abidiani na wenzake Demetria, Donati, Gagus, Januaria, Juliana, Nepori, Paposiniki, Kwirini, Kwirus na wengineo 146 ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliofia dini yao.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Juni[1].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!