21 Aprili – Henry VIII anakuwa Mfalme wa Uingereza (kwa miaka 38) kwa kutokana na kifo cha baba yake, Henry VII.
27 Aprili – Papa Julius II anaiwekea Venice vikwazo vya kidini, yaani, isifuate chochote kuhusu Ukatoliki kwa kukataa kutoa sehemu ya Romagna iwe chini ya utawala wa kipapa.